Rais Magufuli amempigia simu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambaye yuko kwenye ziara ya DAR MPYA, kutembelea maeneo mbalimbali ya Dar es salaam na kusikiliza kero za Wananchi livelive.
Miongoni mwa vitu alivyovizungumzia JPM ni ishu ya bomoabomoa kwenye hifadhi ya barabara, kuipongeza Clouds kwa kurusha live DAR MPYA pamoja na kumpongeza Paul Makonda kwa kumuhakikishia anamuunga mkono kwa 100%, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Rais Magufuli mwenyewe.