VideoMPYA: Kolabo aliyoshirikishwa Harmorapa na msanii wa Ubelgiji - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 29 May 2017

VideoMPYA: Kolabo aliyoshirikishwa Harmorapa na msanii wa Ubelgiji

Miongoni mwa video mpya zilizonifikia ni pamoja na hii aliyoshirikishwa Harmorapa na Ronei, ngoma ni ya msanii Kriticos ambaye ni Mtanzania anayeishi Ubelgiji na production imefanywa na P-funk Majani.