Cha mwisho alichozungumza IGP Mangu kabla ya uteuzi wa IGP mpya (+video) - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 29 May 2017

Cha mwisho alichozungumza IGP Mangu kabla ya uteuzi wa IGP mpya (+video)

May 28, 2017 Rais Magufuli alifanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi ‘IGP’ akimteuaSimon Sirro kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi hilo Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi huo IGP Sirro alikuwa Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
Miongoni mwa vitu alivyovizungumza kabla ya kutenguliwa uteuzi wake wakati yupo ArushaErnest Mangu ni kuhusu kukamatwa kwa waandishi wa habari wanapokuwa katika kazi zao pamoja na issue ya mabomu na wahalifu waliokuwa katika jiji la Arusha.
Bonyeza Play hapa chini kutazama full video