Walichokisema Daktari, Meya na Mtoto wa Ndesamburo baada ya kifo chake - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday 31 May 2017

Walichokisema Daktari, Meya na Mtoto wa Ndesamburo baada ya kifo chake

Mchana wa May 31, 2017 iliripotiwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMAMkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburoambapo Story niliyo nayo ni Daktari aliyempokea katika Hospitali ya KCMC Moshi, mtoto wake mkubwa na baadhi ya viongozi wamezungumza kuhusu kifo hicho…
Taarifa hii imeripotiwa na Clouds Habari leo May 31, 2017…bonyeza Play hapa chini kutazama Full video..

VIDEO: Alichoongea Mbowe baada ya taarifa za kifo cha Ndesamburo