Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday 31 May 2017

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni Mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.
“Msiba umenigusa sana. Nilipoanza kusikia eti mtoto wangu aliteleza kwa ajili ya presha, akaanguka chini, akachukuliwa Hospitali akawekwa ICU. Wakati huo nilikuwa kwenye safari naenda Nairobi…” – Mzee Hassan.

Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan…bonyeza PLAY kutazama!!!