Kenyatta alivyozindua Treni na Reli Mpya Kenya (+VideoFUPI) - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday 31 May 2017

Kenyatta alivyozindua Treni na Reli Mpya Kenya (+VideoFUPI)

Taarifa iliyoripotiwa leo May 31, 2017 ni kuhusu Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta kuzindua Treni ya kisasa nchini humo ambayo itafanya safari zake kutokea Mji wa Pwani waMombasa hadi katika Jiji la Nairobi.
millardayo.com imezinasa picha pamoja na video fupi iliyoripotiwa na Clouds Habari kuhusu tukio hilo la uzinduzi wa treni hiyo mpya na ya kisasa iliyozinduliwa na Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.
Bonyeza Play hapa chini kutazama Full video..

Mambo 11 Sirro ameyazungumza tangu ateuliwe kuwa IGP (+Video)