Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 19 May 2017

Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu

Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10.
Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio wamejeruhiwa na risasi ambapo mmoja wao amepelekwa hospitali, Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: Sirro aongea kuhusu Askari aliyefyatua risasi mbele ya Waziri wa zamani, Bonyezaplay hapa chini