MwanaFA na Vanessa wanatualika kuitazama ‘Dume Suruali’ NEW VIDEO - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 25 November 2016

MwanaFA na Vanessa wanatualika kuitazama ‘Dume Suruali’ NEW VIDEO

Ni zamu nyingine ya Mwana FA, uhodari wake wa kuandika umefanya kila anaeifatilia Bongofleva avutiwe kujua ameandika nini kwenye kila anapotoa ngoma mpya, leo katuletea video mpya ya ‘dume suruali‘ na ukishaitazama unaweza kuacha comment yako hapo chini mtu wa nguvu

VIDEO: Uliikosa Interview ya Mwana FA kuhusu muziki, maisha yake, JokateP Funk na mengine? tazama hii video hapa chini