LiveUpdates: Maandalizi kumuaga Ndesamburo, Moshi - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday 5 June 2017

LiveUpdates: Maandalizi kumuaga Ndesamburo, Moshi

Baada ya kuripotiwa kifo cha Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo May 31, 2017…zilizonifikia leo June 5, 2017 ni shughuli za kumuaga mwanasiasa huyo mkongwe.
Nimezipata picha 5 kutoka Uwanja wa Majengo ambako shughuli za kuuaga mwili wa Ndesamburo zitafanyika leo June 5, 2017.