AUDIO-MANJI AJITENGA YANGA, ATHIBITISHA KUJIUZULU ....SAUTI YAKE IPO HAPA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 23 May 2017

AUDIO-MANJI AJITENGA YANGA, ATHIBITISHA KUJIUZULU ....SAUTI YAKE IPO HAPA


Yusuf Manji amethibitisha kujiuzulu rasmi klabuni hapo, akizungumza kupitia kipindi cha Sport Hq cha E Fm amesema taarifa za barua inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za kweli.

Zaidi nimekuwekea hapa chini sauti yake, akizungumza