Harry Kane striker wa Tottenham Hotspurs ameibuka kuwa mfungaji bora katika ligi kuu ya soka nchini England akifanikiwa kupachika bao 29 .
Lakini klabu ya Middlesbrough imemaliza msimu ikishuka na kuungana na vilabu vya Hull City na Sunderland sasa kwao ikiwa klabu imefanikiwa kufunga bao 27.