Live : KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 8 May 2017

Live : KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA

Leo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Tazama hapa chini