Katika aina hizo za ushangiliaji wapo mastaa wakubwa waliowahi kutamba na vilabu vikubwa barani ulaya, Thiery Henry, Ronaldinho, Obafemi Martins, Carlos Tevez ni baadhi yao ambao wametamba na ushangiliaji
Tazama hapo chini Video hiyo, ujionee uhondo wa aina hizo za ushangiliaji
Follow Us Instagram:thecapitaltz_com