
Felix Mulinge a.k.a Punchline Assasin ni msanii wa Hip Hop kutoka +254 Kenya ameibuka na single yake mpya inayoitwa Ukilya Moko.
Tayari msanii huyo amewahi kutamba na single kadhaa ikiwemo Wacha Story ambazo zimewahi kufanya vizuri katika radio kubwa nchini Kenya.
Zaidi msikilize na upakue audio yake hapa chini akiitambulisha single hiyo mpya