SIRI NZITO YAFICHUKA, MTANGAZAJI WA KENYA AFUNGUKA KUHUSU AFANDE SELE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 25 April 2017

SIRI NZITO YAFICHUKA, MTANGAZAJI WA KENYA AFUNGUKA KUHUSU AFANDE SELE


Jana april 24 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa moja wa wasanii wenye heshima kubwa ya muziki wa Hip Hop Afrika mashariki na nchini Tanzania Suleimani Msindi maarufu kama Afande Sele.

Kupitia salamu za pongezi moja ya watangazaji wa radio na tv maarufu nchini Kenya Mzazi Willy Tuva ametoboa kuwa wimbo wa kwanza kuucheza katika ufunguzi wa kipindi chake Mambo Mseto #MsetoEA ambacho ni mahsusi kwa burudani za Afrika Mashariki katika nchi za Kenya Uganda na Tanzania ulikuwa wa msanii huyo ambao alimshirikisha Dogo Ditto "Darubini Kali"

Zaidi hii hapa post yake ya Instagram