WAIGIZAJI SONNATHA NDUKA NA JACQULINE MATERU NI NGUMI MKONONI WAPEANA MAKAVU INSTAGRAM. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 24 March 2017

WAIGIZAJI SONNATHA NDUKA NA JACQULINE MATERU NI NGUMI MKONONI WAPEANA MAKAVU INSTAGRAM.

Image may contain: 1 person, standingImage may contain: 1 person, sitting, table, food and indoor
JACQUELINE MATERU & SONNATHA NDUKA
Hivi karibuni mwandishi wa blog hii alikutana na sitofahamu kupitia ukurasa mmoja wa instagram baada yakuona maneno ya kijeli ambayo yalizua mjadali mzito na mapovu ya hali yajuu kati ya wasanii hao wawili wa filamu ndani ya Dodoma ambao wote wanajivunia kwa kuitangaza Dodoma vizuri zaidi
Mchezo ulianza baada ya Sonatha Nduka kusifiwa kuwa ameedit vizuri moja ya filamu ambayo imetoka hivi karibuni ambayo imechezwa na mwanadada Jacline Materu ndipo muhusika ambaye ni Jacqueline Materu kuja nakucomment kwakutumia neno ambalo lilionekana kama vile Jack amempuuza SONNATHA. (EDITING MY FOOT).


Source: NGELANGELA NEWS BLOG

SOMA JINSI COMMENT ZA INSTAZILIVYOKUWA ZIKIENDA.