Polisi Dodoma wamekamata viroba vyenye thamani ya Tsh milioni 300... - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 24 March 2017

Polisi Dodoma wamekamata viroba vyenye thamani ya Tsh milioni 300...

March 24, 2017 Jeshi la Polisi Dodoma likiongozwa na kamishna wa Polisi mkoa Lazaro Mambosasa limewakamata wafanyabishara wawili wakiwa na shehena za vinywaji aina ya viroba vyenye thamani ya zaidi ya Milioni 300 za kitanzania na tayari nimekuwekea hapa chini video..