Picha : Vita dhidi ya Kupinga Mimba za Utotoni yapamba Moto Wilaya ya Dodoma Mjini.... Kampeni ya 'MAGAUNI MANNE' yazinduliwa - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 10 March 2017

Picha : Vita dhidi ya Kupinga Mimba za Utotoni yapamba Moto Wilaya ya Dodoma Mjini.... Kampeni ya 'MAGAUNI MANNE' yazinduliwa


 Vita dhidi ya Kupinga  Mimba za Utotoni yapamba Moto Wilaya ya Dodoma Mjini.... Kampeni ya 'MAGAUNI MANNE' yazinduliwa na Mkuu wa Willaya ya Dodoma Mjini Mh. Christina Mndeme 

Ongezeko kubwa la Mimba kwa Wanafunzi wa Shule limepelekea kuanzishwa kwa kampeni hiyo ambayo inamuhamasisha mwanafunzi kujitunza na kufikia malengo ya maisha waliojiwekea. Maana halisi ya MAGAUNI MANNE ni kuhakikisha Binti anavaa Magauni yote manne yanye Maana ya Kuvaa Sare za Shule, na Pili ni Kuvaa Joho la Mhafali, Ndoa na Gauni la nne ni la vazi la wajawazito