DC - Dodoma Mjini Kupambana na Mimba za Utotoni .. ('MAGAUNI MANNE') - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 10 March 2017

DC - Dodoma Mjini Kupambana na Mimba za Utotoni .. ('MAGAUNI MANNE')

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh. Christina Mndeme akizungumza na wanafunzi wa Kike kwenye Uzinduzi wa kampeni ya kupinga Mimba za Utotoni Wilaya ya Dodoma Mjini. Leo kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Dodoma 

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI