Mh. Mavaunde Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira,
akizungumza na wanafunzi wa Kike kutoka shule 8 za Manispaa ya Dodoma kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'MAGAUNI MANNE' kupiga Mimba za Utotoni ndani ya Wilaya ya Dodoma Mjini.
TAZAMA VIDEO HAPA