VIDEO:KUHUSU MFANYABIASHARA MKUBWA DODOMA ALIYEJIPIGA RISASI NA KUJIUWA BAADA YA KUKUTWA NA SHEHENA YA POMBE AINA YA VIROBA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 9 March 2017

VIDEO:KUHUSU MFANYABIASHARA MKUBWA DODOMA ALIYEJIPIGA RISASI NA KUJIUWA BAADA YA KUKUTWA NA SHEHENA YA POMBE AINA YA VIROBA



Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Serikali ipige marufuku pombe za viroba na baadae ikaanza msako kwa wafanyabiashara wa pombe hizo.

Taarifa iliyoripotiwa leo March 8 2017habari kutokea Dodoma imesema kuwa mfanyabiashara mmoja amejiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kukutwa na shehena ya pombe za viroba. Mfanyabiashara huyo alikuwa ni wakala mkuu wa usambazaji wa pombe hizo. 

Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

                  >>>>>>>>>>>>>>>> MATANGAZO <<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
                   USIKOSE LEO NEW CLUB SEVEN KWENYE MDUNDIKO LIVE