VIDEO: ‘Diamond alianza kwa kunilipa Elfu tano na sikuona kama ni tatizo’- Kifesi - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 9 March 2017

VIDEO: ‘Diamond alianza kwa kunilipa Elfu tano na sikuona kama ni tatizo’- Kifesi

Kifesi ni moja kati ya wapiga picha maarufu Tanzania na umaarufu wake ulipatikana baada ya kuwa official photographer  wa Diamond Platnumz. Amepiga story nyingi naMillardayo.com na AyoTV  kuanzia elimu yake, alivyokutana na Diamond, mafanikio aliyopata kutokana na kazi yake hiyo na mengine mengi.
Bonyeza Play hapa chini kutazama FULL Interview na Kifesi