Haidary Scoda Rapper mahiri kwenye Mitindo huru, Jana amepewa Heshima ya Kipekee kwenye Dodoma Festival 2016. Haidary Scoda alitumia Jukwaa hilo kufanya Freestyle. Akizungumza na Mtandao huu wa CAPITAL TZ BLOG amesema ameshitushwa na shangwe nyingi kutoka kwa mashabiki wake kwani kila kukicha amekuwa akiongeza idadi ya mashabiki wake kwa sababu ya ubunifu na utofauti wa Mitindo wake wa ku-rap.
Pia ameishukuru Management yake ya Biorn Production kwa kuendelea kutoa mchago mkubwa kwenye harakati za kukuza mziki wake ambao ni watu wachache wanaoweza kufanya. Biorn Production imekuwa ikiendelea kutoa mchango kwa wasanii tofauti mkoa Dodoma na Nje ya Dodoma,