Sunday Top 10 ni Kipindi kinachoruka kupitia Abood Fm na Super Presenter wa Burudani Abedy Maulidy Kidunda kila jumapili kuanzia saa 11:00 jioni hadi saa 12 jioni.
The Capital Tz.Com tumekusogezea audio ya kipindi kilichoruka jumapili hii ya Desemba 4 mwaka huu.