VIDEO: Ilivyokuwa kwenye Harusi ya Madam Flora, Mwanza - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 1 May 2017

VIDEO: Ilivyokuwa kwenye Harusi ya Madam Flora, Mwanza

Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry ambaye anafahamika sasa kimuziki kama Madam Flora amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
Ndoa ya Madam Flora na Daudi Kusekwa imefanyika jijini Mwanza ambao Ayo TVna millardayo.com imepiga kambi kuhakikisha haupitwi na chochote kilichotokea na hapa nimekuwa video ya tukio zima la harusi hiyo.
“Ninachosema ni kwamba mimi pia nasoma neno la Mungu na ninalielewa vizuri.” – Madam Flora.
Bonyeza PLAY kutazama…

VIDEO: “Nilikuwa natamani kupata mume ambaye atanijali na kuniheshimu” – Madam Flora. Bonyeza play kutazama…