LIVE: JPM akihutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 1 May 2017

LIVE: JPM akihutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo May 1, 2017 anahutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Ushirika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kila ifikapo May 1 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Wafanyakazi ikiwa ni kutambua, kuthamini, kujali na kuheshimu mchango wao katika maendeleo ya Dunia kwa ujumla ambapo katika kuiadhimisha siku hii Tanzania imekuwa na kauli mbiu inayosema: ‘Uchumi wa Viwanda uzingatie  Haki, Maslahi na Heshima kwa Wafanyakazi’.
Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…