VIDEO: Serikali yaagiza Polisi kumuachia Nay wa mitego na kuruhusu wimbo wa ‘Wapo’ - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 27 March 2017

VIDEO: Serikali yaagiza Polisi kumuachia Nay wa mitego na kuruhusu wimbo wa ‘Wapo’

Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe ameagiza Polisi nchini kumuachia msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa wimbo usio na maadili, Waziri Mwakyembe amesema Rais ameshauri wimbo wa ‘WAPO’ auboreshe kwa kutaja na wakwepa kodi.

VIDEO: Matatu aliyoyasema Waziri Nchemba kwa Jeshi la Polisi Nchini