Video: Nape Nnauye alivyorudishwa ndani ya gari na askari... - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 23 March 2017

Video: Nape Nnauye alivyorudishwa ndani ya gari na askari...

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo lakini alizuiwa na askari huku wakimrudisha ndani ya gari, Bonyeza play hapa chini kutazama