SAMATTA AIBUKIA HISPANIA, LEICESTER NAO KUWAVAA MADRID.. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 17 March 2017

SAMATTA AIBUKIA HISPANIA, LEICESTER NAO KUWAVAA MADRID..

Image result for mbwana samatta
Mbwana Samatta mshambuliaji Mtanzania anayecheza Krc Genk ya Ubelgiji ambayo inashiriki Uefa Europa League

Leo hii shirikisho la soka barani ulaya Uefa imeweka hadharani droo ya hatua ya robo fainali katika michuano mikubwa Uefa Champions League na Uefa Europa League.


Droo ya robo fainali Uefa Champions League


Droo ya robo fainali Uefa Europa League