NIZAR ATENGENEZEWA MAANDALIZI MAKUBWA SINGIDA UNITED, ATAJWA KURITHI MIKOBA YA UKOCHA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 17 March 2017

NIZAR ATENGENEZEWA MAANDALIZI MAKUBWA SINGIDA UNITED, ATAJWA KURITHI MIKOBA YA UKOCHA

Picha ya Nizar Khalfan Khalfan
Nizar Khalfan Mchezaji wa Singida United

Abdulahman Sima ambaye ni katibu mkuu wa klabu iliyopanda ligi kuu msimu ujao Singida United amethibitisha kuwa Kiungo wa timu hiyo Nizar Khalfan ataendelea kuwa na nafasi katika klabu yao licha ya ujio wa benchi jipya la ufundi.


Akizungumza na www.capitaltz.com katibu huyo amethibitisha pia kuingia mkataba na kocha wa zamani wa Yanga Hans Van Der Pluijm lakini licha ya ujio huo bado wachezaji wazoefu kama Nizar wataendelea kusalia klabuni hapo.

Zaidi msikilize hapa chini katibu huyo