PICHA: Malkia huyu wa Nguvu akiwa Barabarani akiendesha Lori la Mafuta .... - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 25 March 2017

PICHA: Malkia huyu wa Nguvu akiwa Barabarani akiendesha Lori la Mafuta ....

 Mwanadada akiwa katika usukani wa Roli la Mafuta kama alivyokutwa na Kamera yetu katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam leo
 Mwanadada huyo akiendelea kuchanja mbuga katika eneo la Manzese Argentina
 Picha kwa nyuma ikionyesha roli hilo aina ya Scania lenye tanki la mafuta nyuma kampuni ya Lake Oil
Mwana dada huyo akiwa makini na kazi yake kama anavyoonekana pichani