VIDEO-UCHAMBUZI MECHI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MAN CITY VS CELTIC NA ABBAS PIRA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 6 December 2016

VIDEO-UCHAMBUZI MECHI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MAN CITY VS CELTIC NA ABBAS PIRA


UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, Hatua ya Makundi, inafikia tamati Leo Jumanne kwa Makundi A hadi D na baadhi ya Makundi yake Timu zilizofuzu tayari zimepatikana na kilichobaki ni kuamua nani Mshindi wa Kundi.

TheCapitalTz.Com tumekusogezea uchambuzi wa mechi ya Manchester City dhidi ya Celtic itakayochezwa Etihad Stadium na moja kwa moja Abbas Pira mtanzania aliyewahi kufanya majaribio na vilabu vya Chelsea, Birmigham, Mk Dons akiwa na taaluma ya ukocha anaeleza ugumu wa mchezo huo kwa video hapa chini.