Mtangazaji wa Dodoma FM ambaye pia alikuwa Host kwenye Tamasha Kubwa Dodoma (DODOMA FESTIVAL) Benedict Ngelangela ametoa ya Moyoni baada ya Kushuhudia Show kali toka kwa Wise One ambapo Mabango makubwa yaliokuwa yameshikwa na Mashabiki wa WISE ONE yenye Ujumbe Tofauti kuwakilisha hisia za Mashabiki hao.Ngelangela alisifia Kitendo hicho cha Mashabiki wa Wise One kuonyesha love ya kutosha na kusema "Kwa Mara ya Kwanza kwa Msanii wa Dodoma kushikiwa Mabango yenye ujumbe au maneno mazuri kwa Msanii, Big up sana Wise One"