NAIBU WAZIRI MAVUNDE APOKEA TUZO ALIYOSHINDA MJASIRIAMALI JENIFA SHIGOLE. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 14 December 2016

NAIBU WAZIRI MAVUNDE APOKEA TUZO ALIYOSHINDA MJASIRIAMALI JENIFA SHIGOLE.


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea cheti  alichoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Moroccona kuibuka mshindi wa kwanza na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
 Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za  za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana Bi.Venerose Mtenga na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu.
 Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Tuzo aliyoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
  Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole Bi. Jenifer Shigole akizungumza na waandishi wa habari pamoja na kuwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) tuzo aliyoshinda nchini Morocco na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola moja na nusu. Kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu. Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.