BREAZY AVUNJA TENA REKODI KWENYE DODOMA FESTIVAL 2016 .... ASEMA "NAHESHIMU KIPAJI CHANGU KINACHOPEWA NGUVU KUBWA NA BIORN PRODUCTION" - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 18 December 2016

BREAZY AVUNJA TENA REKODI KWENYE DODOMA FESTIVAL 2016 .... ASEMA "NAHESHIMU KIPAJI CHANGU KINACHOPEWA NGUVU KUBWA NA BIORN PRODUCTION"


Kutoka Biorn Production Dodoma inamtambua kuwa ndiye Msanii anayefanya Show Kali kuliko wote, Breazy Kinyangoroka (Baba Lao) Amevunja Tena Rekodi alioiweka Mwaka jana 2015 baada ya Kupiga Show kali kwenye Tamasha Kubwa la Kizalendo DODOMA FESTIVAL 2016 .......  Muonekano wa Tofauti kwenye Jukwaa huwa ndio humfanya Breazy watu kuzielewa sana Show zake, Mara kadhaa amekuwa akitaja Management yake ya Biorn Production kumpa uwezo wa kufanya hiyo kwani ndio management kubwa na yenye uwezo wa kusimamia wasanii.