Klabu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ni moja ya timu yenye utofauti mkubwa katika style ya uchezaji wake.
Sasa TheCapitalTz.Com tunakuunganisha na Mtanzania Abbas Pira kutoka England kukuletea makala kuhusu Style ya Uchezaji kalbuni hapo Tik Tak ambayo huanzia katika Academy yao ya La Masia, sikiliza na pakua hapo chini