AUDIO-VIDEO QUEENS WA BONGO WAWEKWA CHINI YA ULINZI, YADAIWA WANADHALILISHA WANAWAKE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 19 December 2016

AUDIO-VIDEO QUEENS WA BONGO WAWEKWA CHINI YA ULINZI, YADAIWA WANADHALILISHA WANAWAKE


Video Queens kutoka bongo wametupiwa lawama kubwa wakitajwa kutozingatia maadili katika uvaaji wa nguo kwenye video walizokuwa wakishiriki.

Kupitia segment ya Chini ya ulinzi inayoruka kwenye show ya Gwaride Abood Fm, moja ya waskilizaji alisikika akiponda uvaaji huo na kudai kwa kiasi kikubwa huwa unadhalilisha wanawake.


Zaidi sikiliza na pakua hapa Msikilizaji huyo akifunguka baada ya kuzungumza na watangazaji wa kipindi hicho, Abe Kidunda 'Simple Bway" na Jiwe Ligaanga "Jiwe The Don"