Ligi kuu nchini China Super League tayari imeanza kuwastua wadau wengi wa mchezo wa soka duniani baada ya vilabu vya huko kuamua kufanya sajili kubwa na kuvitikisa vilabu vya ulaya.
Didier Drogba, Nikolas Anelka ni majina ya mwanzo kuanza kucheza ligi ya nchini China baada ya hapo Javier Martinez Alex Texeira yakafuatia kisha sasa akina Ramires,Demba Ba, Gervinho, Oscar Emboaba na Hulk wanatumika mpaka sasa katika ligi ya nchini Humo.
The Capitaltz.Com moja kwa moja tunaungana na Fallerian John ambaye ni Mtanzania kutoka China kutujuza mengine mazuri kuhusu ujio wa soka la nchini humo.
Sikiliza hapa chini na unaweza pakua sauti hiyo bure kabisa