MTIBWA Sugar Jana ilipata ushindi wa kufungia mwaka dhidi ya Simba SC, baada ya kuichapa mabao 2-1 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Umekuwa ni muendelezo kwa klabu hiyo kufanya vizuri katika michezo, michuano ambayo huwa inashiriki hapa nyumbani Tanzania lakini imekuwa nadra kushuhudiwa ikitamba kimataifa.
The CapitalTz.Com kupitia kwa mchambuzi, Mtanzania Abbas Pira tumekusogezea maoni/Tathmini ili klabu ya Mtibwa endapo itatumia ushauri huo huenda wakafika mbali kimataifa.
Isikilize na pakua hapa chini