BRITISH COUNCIL YAIONYESHA SERIKALI NJIA YA KUWASAIDIA VIJANA ILI WAYAFIKIE MALENGO YAO - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 27 September 2016

BRITISH COUNCIL YAIONYESHA SERIKALI NJIA YA KUWASAIDIA VIJANA ILI WAYAFIKIE MALENGO YAO

Mkurugenzi wa Miradi wa BRITISH COUNCIL Tanzania Nesia Mahenge akizungumza jambo kwenye kwenye kongamano la kupaza sauti kwa vijana wa mkoa wa Dodoma waliokuwa wakijadili maisha ya kizazi kijacho na cha sasa.

Mbunge wa jimbo la Chilonwa mkoani Dodoma Joel Mwaka aliyekuwa mgeni rasmi akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza kwenye kongamano hilo

Ofsa Tawala wa Wilaya ya Dodoma Mjini akizungumza kwaniaba ya mkuu wa wilaya hiyo Christina Mndeme

Kiongozi wa Doyodo
Mbunge Joel Mwaka akizindua vitabu vya matokeo ya utafiti wa changamoto mbalimbali zinazowakabiri vijana, uliofanywa na British Council IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG