UJENZI WA BARA BARA YA IRINGA – DODOMA WAENDELEA VIZURI - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 19 March 2014

UJENZI WA BARA BARA YA IRINGA – DODOMA WAENDELEA VIZURI



Ujenzi wa barabara ya Iringa – Dodoma ukiendeleo kwa kasi hapa ni maeneo ya Manispaa katika kata ya Mtwivila maeneo ya Mwang’ingo wakiendelea na ujenzi wa Daraja.(picha na Denis Mlowe)