Aidha,
inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye
sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo,
maombi vote yapitishwe kwa Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji. Pia,
kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi
yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi
wa Umma wabainishe kwamba walia- cha kazi Serikalini.
Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania, S.L.P. 8391 , DAR ES SALAAM