MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KITAIFA YAENDELEA MKOANI DODOMA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 18 March 2014

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KITAIFA YAENDELEA MKOANI DODOMA

Mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI (kushoto) akiwasisitiza viongozi na wananchi wa kijiji cha Chididimo manispaa ya dodoma kuulinda na kuutunza mradi wa maji kijijini hapo muda mfupi mara baada ya mkuu huyo wa mkoa kuuzindua mradi huo mapema leo hii.

Mkuu wa Mkoa Dodoma akizindua mradi wa maji kijijini cha Chididimo manispaa ya dodoma mapema leo hii, wengine ni wajumbe wa chombo huru cha watumiaji maji kijijini hapo.



Mkuu wa MKOA Dodoma DR. Rehema NCHIMBI (kulia) na katibu tawala Mkoa Dodoma Ndg. Rehema Madenge wakifungua na kukinga maji kwenye mradi wa maji kijiji cha chididimo manispaa ya dodoma wakati wa uzinduzi wa mradi huo mapema leo hii. Wanaoshuhudia ni wananchi wa kijiji cha chididimo.