Mtangazaji wa kipindi cha The Sporah Show, Sporah Njau hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu alipofanya interview na muimbaji mahiri nchini, Khalid Mohamed aka TID kwenye show hiyo kutokana na maswali yake yaliyogusa mambo ya ndani ya mkali huyo.Sporah alimuuliza maswali yaliyogusa masuala mazito katika maisha ya msanii..
Sunday, 7 July 2013
New
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
