MTANZANIA AJINYONGA NCHINI URUSI! - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 2 July 2013

MTANZANIA AJINYONGA NCHINI URUSI!

Habari ambazo thehabari.com imezipata kutoka kwa baadhi ya Watanzania waishio Saint Petersburg, Urusi, ni kwamba Mtanzania aliyeweka makazi yake mjini hapo kwa muda mrefu Ndg. Shabani Japhari ameaga dunia kwa kujinyonga. Akituma ujumbe huo kupitia mtandao wake wa Facebook, Ndg. Moses Mango, ambaye pia ni makazi wa muda mrefu wa..Read More