HAYA NDIO MAFANIKIO ALIOYAPATA MC PILI PILI BAADA YA KUACHA KAZI YA UWALIMU NA KUWA MC - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 7 July 2013

HAYA NDIO MAFANIKIO ALIOYAPATA MC PILI PILI BAADA YA KUACHA KAZI YA UWALIMU NA KUWA MC


Alifahamika kwa jina la mwalimu Emmanuel lakini kwa sasa ni MC Pilipili. Manjonjo, vituko na uwezo mkubwa wa ‘kuchekesha’ jukwaa ndiyo umechangia kubadilisha taswira yake aliyonayo kwa sasa..

Pilipili anasema ameanza kuifanya kazi hiyo tangu mwaka 2003, akiwa ni mwanafunzi wa shule ya sekondari. “Kwa kipindi cha miaka kumi sasa nimefanikiwa kujenga nyumba, ninasomesha wadogo zangu watatu katika ngazi za Chuo Kikuu na sekondari,” anasema.