LADY JAYDEE ATOA SHUKRANI KWA FANS WALIOHUDHURIA SHOW YAKE … - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 21 June 2013

LADY JAYDEE ATOA SHUKRANI KWA FANS WALIOHUDHURIA SHOW YAKE …

Hivi karibuni malkia wa Bongo Flava Tanzania, Lady JayDee alifanya bonge la show katika kuazimisha Miaka 13 tangu aingie kwenye tasnia hii ya muziki …

Show hiyo iliyofanyika Tarehe 14 mwezi huu pale Nyumbani Lounge, ilijawa na watu wengi kiasi cha wengine kushindwa kuingia ndani …

Baada ya hayo yote, msikilize Lady Jaydee akitoa shukrani zake za dhati kwa watanzania wote ambao walimpa ushirirkiano kwa namna moja au nyingine …