KILI MUSIC TOUR 2013 LEO NI DODOMA, MAKAO MAKUU YA TANZANIA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 21 June 2013

KILI MUSIC TOUR 2013 LEO NI DODOMA, MAKAO MAKUU YA TANZANIA


Huwezi ukaongea kuhusu R&B nchini bila kumtaja Ben Pol na huwezi kumtaja Ben Pol bila kutaja nyimbo nzuri za R&B zilizoimbwa kwa staili za kikwetu kwetu. Mkali huyu wa R&B ambaye aliibuka na tuzo ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 sasa anakuja kwako kukushukuru katika ziara ya Muziki inayoanzia Dodoma Jumamosi katika uwanja wa Jamhuri.