LADY JAY DEE...DODOMA YAHAYA WANAIJUA KULIKO MIMI - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 27 June 2013

LADY JAY DEE...DODOMA YAHAYA WANAIJUA KULIKO MIMI

Ni siku chache zimepita toka kiongozi wa team anaconda kuvamia dodoma katika show ya Kil music tour,ambayo imehusisha wasanii mbalimbali kama,Ben paul,Ommy dimpoz,Roma,Prof jay na wengine wengi. Lady jay dee alisema’’Dodoma asanteni kwa love, sikutegemea Yahaya mnaijua hivyo kuliko mi mwenyewe mwenye wimbo,ni kitu cha kushangaza sana ila hii yote ni heshima waliyonipa hizo asante tena kwa dodoma.