BRAND NEW MUSIC; Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – MY BABY … Video kutoka kesho … - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 21 June 2013

BRAND NEW MUSIC; Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – MY BABY … Video kutoka kesho …

Ni ngoma mpya kabisa ya Quick Rocka, Mbeya City rapper … This time around anakuja na ngoma inaitwa MY BABY … Ulishaisikia kidogo kwenye teaser audio, sasa hii ni ngoma kamili … MY BABY imefanywa na Producer Manecky, mkali kutoka AM Records huku ikimshirikisha big brother Cowbama Cowwizzy a.k.a Ngwair (R.I.P) pamoja na Shaa … Sikiliza na download MY BABY ya Quick Rocka hapa chini;